WAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA MAJI WILAYANI MBULU

*Una uwezo wa kuzalisha lita 43,000 kwa saa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha huduma ya maji safi na salama inawafikia wananchi katika maeneo yote nchini vikiwemo na vijiji vya wilaya ya Mbulu. Amesema kampeni ya kumtua mama ndoo kichwani ambayo ilianzishwa